MCHANGANUO WA ADA NA MICHANGO YA SHULE 2019.

NO. VIPENGELE        KIASI
1 Ada kwa mwaka 950,000/=
2 Fomu ya maombi 10,000/=
3 Usajili 35,000/=
4 Sare ya shule 125,000/=
5 Ukaguzi 1,000/=
6 Vyombo ya chakula 10,000/=
7 Matibabu 50,000/=
8 Tahadhari 20,000/=
9 Rimu ya karatasi 12,000/=
10 Kikao cha wazazi 30,000/=
11 Taaluma 50,000/=
12 Mahafali 15,000/=
13 Godoro 20,000/=
14 Maendeleo ya shule 50,000/=
15 Siku ya utamaduni(Cultural day) 25,000/=
16 Michezo (ngazi ya Cluster,wilaya na Taifa) 30,000/=
17 Ujenzi wa fensi 50,000/=
18 Ziara ya masomo(Study Tour) 50,000/=
19 Kitambulisho 5,000/=
  Jumla kuu 1,538,000/=